MSHAMBULIAJI Luis Suarez amerejea kwenye viwanja vya mazoezi vya Liverpool katika siku ya leo ya mwisho ya usajili... lakini nyota huyo aliyehamia Barcelona kwa Pauni Milioni 75 alikwenda kuchukua mizigo yake tu.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 27 aliwasili akiwa na zawadi ndogo kwa Steven Gerrard - jezi ya Barca yenye nina lake- na Nahodha huyo wa Liverpool ameposti picha hiyo kwenye akaunti yake ya Instagram.
Iliambatanishwa na ujumbe usemao: "Amekuja na zawadi kusema kwaheri kwa mtu muhimu asubuhi hii, namtakia mafanikio makubwa mchezaji,".
0 comments:
Post a Comment