// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); LIVERPOOL YAKABIDHIWA KWA SWANSEA, MAN CITY NA NEWCASTLE, CHELSEA YAPATA VIBONDE RAUNDI YA NNE CAPTAL ONE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE LIVERPOOL YAKABIDHIWA KWA SWANSEA, MAN CITY NA NEWCASTLE, CHELSEA YAPATA VIBONDE RAUNDI YA NNE CAPTAL ONE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Thursday, September 25, 2014

        LIVERPOOL YAKABIDHIWA KWA SWANSEA, MAN CITY NA NEWCASTLE, CHELSEA YAPATA VIBONDE RAUNDI YA NNE CAPTAL ONE

        TIMU ya hadhi ya chini iliyobaki katika Kombe la Ligi, Shrewsbury Town, itamenyana na timu ya Ligi Kuu ya England, Chelsea katika raundi ya Nne ya michuano hiyo.
        Timu hiyo ya Daraja la Pili, Shrews, ambayo imeitoa Norwich ya Daraja la Kwanza katika raundi iliyoalizika usiku huu, itakuwa mwenyeji wa The Blues iliyoichapa 2-1 Bolton usiku wa Jumatano. 

        Frank Lampard akisherehekea bao lake la tatu katika mechi mbili baada ya leo kufungwa mawili dhidi ya Sheffield Wednesday

        RATIBA RAUNDI YA NNE KOMBE LA LIGI ENGLAND...

        Tottenham Hotspur vs Brighton
        Stoke vs Southampton
        Bournemouth vs West Brom
        Shrewsbury vs Chelsea
        Liverpool vs Swansea
        MK Dons vs Sheffield United
        Manchester City vs Newcastle United
        (Mechi zitachezwa wikiendi ya Oktoba 27, 2014 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: LIVERPOOL YAKABIDHIWA KWA SWANSEA, MAN CITY NA NEWCASTLE, CHELSEA YAPATA VIBONDE RAUNDI YA NNE CAPTAL ONE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry