MANCHESTER City imeshinda mabao 4-2 dhidi ya wenyeji Hull City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo.
Mabao ya City yamefungwa na Sergio Aguero dakika ya saba, Edin Dzeko dakika ya 11 na 68 na Frank Lampard dakika ya 87, wakati mabao ya Hull yamefungwa na Eliaquim Mangala aliyejifunga dakika ya 21 na Hernandez kwa penalti dakika ya 32.
Kikosi cha Manchester City kilikuwa: Caballero, Zabaleta, Mangala, Clichy, Kompany, Silva/Demichelis dk76, Fernandinho/Jesus Navas dk66, Yaya Toure, Milner, Aguero/Lampard dk71 na Dzeko.
Hull City: McGregor, Rosenior, Dawson, Davies, Robertson/Brady dk83, Elmohamady, Diame, Huddlestone, Livermore/Ben Arfa dk74, Hernandez/Ramirez dk74 na Jelavic.

Zabaleta kulia akimpongeza lampard baada ya kufunga bao la nne |
0 comments:
Post a Comment