// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KIMWAGA ANAVYOJIFUA KUREJEA UWANJANI FITI KABISA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KIMWAGA ANAVYOJIFUA KUREJEA UWANJANI FITI KABISA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Tuesday, September 23, 2014

        KIMWAGA ANAVYOJIFUA KUREJEA UWANJANI FITI KABISA

        Winga wa Azam FC, Joseph Kimwaga aliyekuwa majeruhi akifanya mazoezi ya nguvu katika gym ya klabu hiyo iliyopo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam jana. Kimwaga amepona maumivu ya goti yaliyomuweka nje ya Uwanja tangu mwishoni mwa mwa ka jana na sasa ameanza mazoezi kuelejea kurejea uwanjani.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: KIMWAGA ANAVYOJIFUA KUREJEA UWANJANI FITI KABISA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry