Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa akiwekeana mkwara na Pablo Zabaleta wa Manchester City, ambaye mwishowe alitolewa kwa kadi nyekundu na refa Mike Dean katika mchezo wa Ligi Kuu ya England baina ya timu hizo jioni ya leo Uwanja wa Etihad uliomalizika kwa sare ya 1-1.
Pablo Zabaleta akionyeshwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njani na Mike Dean baada ya kumchezea rafu Diego Costa kipindi cha pili
Zabaleta akiondoka uwanjani baada ya kadi nyekundu
0 comments:
Post a Comment