// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 'BABU' ANELKA ASAINI TIMU YA INDIA, MWENYEWE AMEFURAHI KINOMA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 'BABU' ANELKA ASAINI TIMU YA INDIA, MWENYEWE AMEFURAHI KINOMA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Monday, September 15, 2014

        'BABU' ANELKA ASAINI TIMU YA INDIA, MWENYEWE AMEFURAHI KINOMA

        MSHAMBULIAJI wa zamani wa Real Madrid na Chelsea, Nicolas Anelka ametangaza kujiunga na Mumbai City ya Ligi Kuu ya India.
        Imeripotiwa kwamba mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 35, ambaye amekuwa hana timu tangu aondoke West Brom Machi mwaka huu, amekubali mkataba wa muda mfupi na timu ya ISL inayofundishwa na Peter Reid.
        "Ninayo furaha kujiunga na Mumbai City FC na nimevutiwa sana kujiunga na Ligi Kuu ya India," ameandika Anelka kwenye akaunti yake ya Twitter.

        Nicolas Anelka amekuwa hana timu tangu ameondoka West Brom Machi mwaka huu
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: 'BABU' ANELKA ASAINI TIMU YA INDIA, MWENYEWE AMEFURAHI KINOMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry