Beki wa Azam FC, Shomary Kapombe akimuacha chini beki wa Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam ilishinda 2-0. |
Mfungaji wa mabao yote ya Azam FC jana, Didier Kavumbangu akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Ruvu, Salvatory Ntebe |
Mashabiki wa Azam FC wakifurahia jana |
Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akiwatoka wachezaji wa Ruvu jana |
Kiungo wa Azam FC, Himid Mao akimtoka kiungo wa Ruvu jana |
Kikosi cha Ruvu jana |
Kikosi cha Azam FC jana |
0 comments:
Post a Comment