// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YATOSHA KUJIRIDHISHA HARUNA NIYONZIMA AMERUDI KWENYE FOMU CHINI YA 'MCHAWI' MAXIMO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YATOSHA KUJIRIDHISHA HARUNA NIYONZIMA AMERUDI KWENYE FOMU CHINI YA 'MCHAWI' MAXIMO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, August 25, 2014

    YATOSHA KUJIRIDHISHA HARUNA NIYONZIMA AMERUDI KWENYE FOMU CHINI YA 'MCHAWI' MAXIMO

    Amerudi; Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akimtoka beki wa Shangani ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Yanga SC ilishinda 2-0. Niyonzima ambaye msimu uliopita alilegalega, jana alionyesha kiwango cha juu mno, kuashiria amerudi kwenye fomu yake chini ya kocha mpya, Mbrazil Marcio Maximo. 
    Haruna Niyonzima kulia katika mchezo wa jana
    Mtu anateswaje? Achana na Niyonzima anapoamua kufanya yake
    Mtu anapohangaishwa; Niyonzima kampa msuli kijana anahangaika kuugusa mpira
    Wengine waliamua kusimama tu; Niyonzima anawakimbiza vijana
    Labda kwa kumshika kwa mikono, kijana anaona amvute jamaa, lakini wapi  
    Haukuwa mkwara; Wakati timu zinaingia tu, Niyonzima aliruka juu namna hii
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YATOSHA KUJIRIDHISHA HARUNA NIYONZIMA AMERUDI KWENYE FOMU CHINI YA 'MCHAWI' MAXIMO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top