![]() |
Kiungo Mbrazil wa Yanga SC, Andrey Coutinho kulia akimtoka beki wa Shangani katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Yanga SC ilishinda 2-0. |
![]() |
Coutinho akimuacha chini beki wa Shangani |
![]() |
Coutinho akimzunguka beki wa Shangani |
![]() |
Mshambuliaji wa Yanga SC, Geilson Santana 'Jaja' akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Shangani |
![]() |
Winga wa Yanga SC Simon Msuba akimpiga tobo beki wa Shangani |
![]() |
Coutinho akimkimbiza beki wa Shangani |
![]() |
Kona iliyoelekezwa lango mwa Shangani, Hussein Javu akiwa ameruka na kipa wa Shangani |
![]() |
Haruna Niyonzima akiwatoka mabeki wa Shangani |
0 comments:
Post a Comment