KLABU ya West Brom imetangaza kumsajili kiungo wa pembeni wa Argentina, Sebastian Blanco kwa mkataba wa miaka miwili Metalist Kharkiv ya Ukraine.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26, aliyeichezea mechi mbili timu yake ya taifa, ana uwezo wa kucheza pembeni na amepewa jezi namba 28.
0 comments:
Post a Comment