// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); VIGOGO WA ZFA KWA UMAKINI KABISA KINACHOENDELEA KOMBE LA KAGAME - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE VIGOGO WA ZFA KWA UMAKINI KABISA KINACHOENDELEA KOMBE LA KAGAME - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, August 14, 2014

    VIGOGO WA ZFA KWA UMAKINI KABISA KINACHOENDELEA KOMBE LA KAGAME

    Katibu Msaidizi wa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) na Mkurugenzi wa Ufundi, Masoud Atai kulia akifuatilia kwa makini michuano ya Kombe la Kagame mchana wa leo Uwanja wa Nyamirambo, Kigali, Rwanda. Kushoto ni Rais wa zamani wa ZFA, Ali Ferej Tamim, ambaye pia ni Mjumbe wa heshima wa CECAFA. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VIGOGO WA ZFA KWA UMAKINI KABISA KINACHOENDELEA KOMBE LA KAGAME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top