DILI la Angel di Maria kutua Manchester United linakaribia kabisa kutimia baada ya wakala wake, Jorge Mendes kupigwa picha akiwa na kocha wa Mashetani hao Wekundu, Louis van Gaal.
Van Gaal alikuwa akitabasamu na Mendes wakati wawili hao wakiwa kwenye gari kuelekea viwanja vya mazoezi vya United leo wakitazamiwa kukamilisha dili la Di Maria na klabu hiyo.
0 comments:
Post a Comment