Torres akiwa na Mtendaji Mkuu wa AC Milan, Adriano Galliani baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Linate
Torres akiwa amezongwa na mashabiki wakati anakwenda kufanyiwa vipimo vya afya kliniki ya Madonnina
Mashabiki wakijaribu kupiga picha na Torres
Torres akisaini jezi za mashabiki
Mashabiki wakipiga nays picha
Huyu alikwenda na jezi ya Torres enzi za Liverpool ili asinine na mchezaji huyo
0 comments:
Post a Comment