// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TANZANIA YAFUNGWA NA UGANDA MICHUANO YA MAJESHI KIKAPU AFRIKA MASHARIKI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TANZANIA YAFUNGWA NA UGANDA MICHUANO YA MAJESHI KIKAPU AFRIKA MASHARIKI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, August 26, 2014

    TANZANIA YAFUNGWA NA UGANDA MICHUANO YA MAJESHI KIKAPU AFRIKA MASHARIKI

    Mchezaji wa Tanzania, Mwalimu Kijogoo akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Uganda wakati wa mchezo wa mpira wa kikapu, michuano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika Uwanja wa Gymkhana jioni ya leo, Zanzibar. Uganda ilishinda 59-54.
    Wachezaji wakigombea mpira ambao umewaponyoka wote
    Wachezaji wa Uganda na Tanzania wakigombea mpira

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TANZANIA YAFUNGWA NA UGANDA MICHUANO YA MAJESHI KIKAPU AFRIKA MASHARIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top