Wazee wa dozi; Mshambuliaji wa Spurs, Emmanuel Adebayor akipongezwa na wenzake baada ya kufunga bao katika ushindi wa 4-0 dhidi ya QPR Uwanja wa White Hart Lane. Mabao mengine ya Tottenham Hotspur yamefungwa na Chadli mawili na moja Eric Dier kikosi cha Mauricio Pochettino kiking'ara leo katika Ligi Kuu ya England.
Captain's Column: Maya keen to maintain momentum
-
United Women's objective today is to beat Everton and take a win into the
international break, says Maya.
52 minutes ago
0 comments:
Post a Comment