KLABU ya West Ham imetangaza kumsajili kiungo wa Barcelona, Mcameroon Alex Song kwa mkopo wa muda mrefu.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 amekuwa akisotea namba kwenye kikosi cha kwanza Nou Camp tangu ahamie huko kutoka Arsenal mwaka 2012 na kurejea Ligi Kuu ya England akijiunga na Wagonga Nyundo, au The Hammers ni mwanzo mwingine mpya kwake
0 comments:
Post a Comment