![]() |
Mshambuliaji wa Simba SC, Amisi Tambwe akiwapangua wachezaji wa Mafunzo katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Simba SC ilishinda 2-0. |
![]() |
Kiungo wa Simba SC, Pierre Kwizera kulia akijiandaa kufumua shuti pembeni ya beki wa Mafunzo |
![]() |
Kiungo wa Simba SC, Amri Kiemba akituliza mpira kifuani mbele ya kiungo wa Mafunzo |
![]() |
Beki wa Simba SC, Issa Rashid 'Baba Ubaya' akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Mafunzo |
![]() |
Winga wa Simba SC, Ramadhani Singano 'Messi' akienda chini baada ya kukwatuliwa na beki wa Mafunzo |
![]() |
Winga wa Simba SC, Haroun Chanongo akimtoka beki wa Mafunzo |
![]() |
Kiungo wa Simba SC, Shaaban Kisiga 'Malone' akimlamba chenga beki wa Mafunzo |
![]() |
Mshambuliaji wa Simba SC, Elias Maguri akimtoka beki wa Mafunzo |
0 comments:
Post a Comment