![]() |
Kiungo wa Simba SC, Uhuru Suleiman akimiliki mpira mbele ya beki wa Kilimani City jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Simba SC ilishinda mabao 2-1. |
![]() |
Kiungo wa Simba SC, Shaaban Kisiga 'Malone' akipasua katikati ya wachezaji wa Kilimani City |
![]() |
Amri Kiemba katikati ya mabeki wa Kilimani City jana |
![]() |
Amri Kiemba akimtoka beki wa Kilimani City |
![]() |
Kiungo wa Simba SC, Ramadhani Singano 'Messi' akiwatoka mabeki wa Kilimani City jana |
![]() |
Beki wa Simba SC, Issa Rashid 'Baba Ubaya' akigombea mpira na mchezaji wa Kilimani City |
![]() |
Mshambuliaji wa Simba SC, Amisi Tambwe akimtoka beki wa Kilimani City |
![]() |
Kiungo wa Simba SC, Shaaban Kisiga 'Malone' akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Kilimani City |
0 comments:
Post a Comment