Kiungo Pierre Kwizera akipasua katikati ya wachezaji wa KMKM |
Kiungo Shaaban Kisiga ambaye kwa sasa anachezeshwa kama mshambuliaji wa pili, akimtoka beki wa KMKM |
Mshambuliaji Elias Maguri akimiliki mpira mbele ya beki wa KMKM |
Beki Issa Rashid 'Baba Ubaya' akimtoka beki wa KMKM |
Kiungo wa pembeni wa Simba SC, Haroun Chanongo akitafuta mbinu za kumtoka beki wa KMKM |
Beki anayeweza kucheza nafasi za kiungo pia, William Lucian 'Gallas' akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa KMKM |
Kiungo Ibrahim Hajibu akijiandaa kumgeuza mchezaji wa KMKM |
0 comments:
Post a Comment