// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RONALDO NA BENZEMA WOTE WAFUNGA REAL IKIIANZA LA LIGA KWA USHINDI WA 2-0 NYUMBANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RONALDO NA BENZEMA WOTE WAFUNGA REAL IKIIANZA LA LIGA KWA USHINDI WA 2-0 NYUMBANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, August 26, 2014

    RONALDO NA BENZEMA WOTE WAFUNGA REAL IKIIANZA LA LIGA KWA USHINDI WA 2-0 NYUMBANI

    REAL Madrid jana imeuanza vyema msimu mpya wa La Liga kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Cordoba iliyopanda daraja Uwanja wa Bernabeu. 
    Shukurani kwao, wafungaji wa mabao hayo, Mfaransa Karim Benzema dakika ya 30 na Mwanasoka Bora wa Dunia, Mreno Cristiano Ronaldo dakika ya 90.
    Kikosi cha Real Madrid kilikuwa; Casillas, Arbeloa/Carvajal dk73, Ramos, Pepe, Marcelo, Kroos, Modric, Bale, James/Isco dk72, Ronaldo na Benzema/Khedira dk76.
    Cordoba: Carlos, Gunino, Inigo, Pantic, Crespo, Rossi, Garai, Pinillos/Cartabia dk46, Ryder/Fidel  dk62, Lopez Silva na Havenaar/Xisco dk67.
    Mwanzo mzuri; Cristiano Ronaldo jana amefunga katika ushindi wa kwanza wa Real msimu mpya wa La Liga
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO NA BENZEMA WOTE WAFUNGA REAL IKIIANZA LA LIGA KWA USHINDI WA 2-0 NYUMBANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top