// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); REMY AKAMILISHA UHAMISHO WAKE CHELSEA KUTOKA QPR, JESHI LA MOURINHO SASA... - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE REMY AKAMILISHA UHAMISHO WAKE CHELSEA KUTOKA QPR, JESHI LA MOURINHO SASA... - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, August 31, 2014

    REMY AKAMILISHA UHAMISHO WAKE CHELSEA KUTOKA QPR, JESHI LA MOURINHO SASA...

    KLABU ya Chelsea imekamilisha uhamisho wa Loic Remy kwa dau la Pauni Milioni 8 kutokaq QPR.
    Remy aliyekuwa anatakiwa pia na Arsenal, anakwedna kuziba nafasi ya Fernando Torres aliyehamia AC Milan kwa mkopo wa mural mrefu.
    Uhamisho huu ni faraja kwa Remy ambaye sasa anakwenda kujiunga na klabu inayocheza Ligi ya Mabingwa Ulaya. Kocha Mreno, Jose Mourinho alihitaji mshambuliaji baada ya kumtoa kwa mkopo Torres.
     Remy: 'When I heard Chelsea wanted me I said "let's go" because they are one of the best clubs in the world.'
    Mambo safi: Chelsea imekamilisha uhamisho wa mshambuliaji Loic Remy kutoka QPR
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: REMY AKAMILISHA UHAMISHO WAKE CHELSEA KUTOKA QPR, JESHI LA MOURINHO SASA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top