KLABU ya Tottenham imepangwa kundi moja na Besiktas katika Europa League wakati Everton imepangwa na Wolfsburg na Lille katika droo iliyopangwa leo mjini Monaco, Ufaransa.
Beskitas inayoongozwa na mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Demba Ba, ilitolewa na Arsenal katika mechi za mchujo za kuwania kupangwa kwenye makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Mchezo wa kwanza Uturuki, Beskitas ilitoa sare ya bila kufungana na Arsenal, wakati The Gunners walishinda 1-0 katika mchezo wa marudiano Uwanja wa Emirates London, bao pekee la Alexis Sanchez.
Kazi kazi: Romelu Lukaku (kulia) ataiongoza Everton katika Europa League
GROUP A
Villarreal (Spain)
Borussia Monchengladbach (Germany)
Zurich (Switzerland)
Apollon (Cyprus)
GROUP B
FC Copenhagen (Denmark)
Club Brugge (Belgium)
Torino (Italy)
Helsinki (Finland)
GROUP C
TOTTENHAM
Besiktas (Turkey)
Partizan (Serbia)
Asteras Tripolis FC (Greece)
GROUP D
FC Salzburg (Austria)
CELTIC
Dinamo Zagreb (Croatia)
HJK FC Astra Giurgiu (Romania)
GROUP E
PSV Eindhoven (Holland)
Panathinaikos (Greece)
Estoril Praia (Portugal)
Dynamo Moscow (Russia)
GROUP F
Inter Milan (Italy)
Dnipro (Ukraine)
Saint-Etienne (France)
Qarabag (Azerbaijan)
GROUP G
Sevilla (Spain, holders)
Standard Liege (Belgium)
Feyenoord (Holland)
HNK Rijeka (Croatia)
GROUP H
Lille (FRA)
Wolfsburg (Germany)
EVERTON
FC Krasnodar (Russia)
GROUP I
Napoli (Italy)
Sparta Prague (Czech Republic)
BSC Young Boys (Switzerland)
SK Slovan Bratislava (Slovakia)
GROUP J
Dynamo Kiev (Ukraine)
Steaua Bucharest (Romania)
Rio Ave FC (Portugal)
Aalborg BK (Denmark)
GROUP K
Fiorentina (Italy)
PAOK FC (Greece)
EA Guingamp (France)
Dinamo Minsk (Belarus)
GROUP L
Metalist Kharkiv (Ukraine)
Trabzonspor (Turkey)
GD Legia Warsaw (Poland)
KSC Lokeren OV (Belgium)
Champions: La Liga's Sevilla celebrate their Europa League final victory in Turin last year
0 comments:
Post a Comment