Winga wa magwiji wa Real Madrid, Jorge Lopez akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Tanzania, Nsajigwa Shadrack kushoto katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Rea ilishinda 3-1. |
Lopez anafanya utundu wake kwenye mpira, Nsajigwa anavuta jezi
|
Anamuacha chini |
0 comments:
Post a Comment