// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MKANDA MZIMA REAL MADRID NA TANZANIA ELEVEN JANA TAIFA, ILIKUWA... - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MKANDA MZIMA REAL MADRID NA TANZANIA ELEVEN JANA TAIFA, ILIKUWA... - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, August 24, 2014

    MKANDA MZIMA REAL MADRID NA TANZANIA ELEVEN JANA TAIFA, ILIKUWA...

    Luis Figo wa Real Madrid akimgeuza Mecky Mexime wa Tanzania Eleven jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Real walishinda 3-1.
    Luis Figo akiwa ameruka juu kupiga kichwa mpira dhidi ya Mecky Mexime

    Sabri Ramadhan 'China' akimzungusha Enrique Velasco wa Real Madrid 

    Mfungaji wa mabao yote matatu ya Real Madrid jana, Reuben de La Red akitafuta maarifa ya kumtoka Habib Kondo

    Beki wa Real Madrid, Fernando Sanz akimzibia njia Duwa Said ili mpira utoke

    Kali Ongala akimtoka Fernando Sanz

    Jorge Lopez akiwafunga tela Yussuf Macho na Madaraka Selemani

    Nahodha wa Tanzania Eleven, Mwameja Mohamed akimtambulisha Waziri Habari Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara kwa George Masatu. Katikati ni Iddi Moshi

    Reuben de La Red akijiandaa kumlamba chenga Duwa Said

    Sabri China akimzunguka Enrique Velasco

    Enrique Velasco akiupitia mpira miguuni mwa Mecky Mexime

    Mao Mkami 'Ball Dancer' akitoka beki wa Real Madrid

    Mao Mkami akimfunga tela beki wa Real Madrid

    Mchezaji wa Real Madrid akiwaunga mabehewa wacheaji wa Tanzania Eleven

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MKANDA MZIMA REAL MADRID NA TANZANIA ELEVEN JANA TAIFA, ILIKUWA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top