// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAN CITY YAPEWA BAYERN MUNICH LIGI YA MABINGWA, LIVERPOOL NA REAL, CHELSEA NA WAKALI WENGINE WA UJERUMANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAN CITY YAPEWA BAYERN MUNICH LIGI YA MABINGWA, LIVERPOOL NA REAL, CHELSEA NA WAKALI WENGINE WA UJERUMANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, August 28, 2014

    MAN CITY YAPEWA BAYERN MUNICH LIGI YA MABINGWA, LIVERPOOL NA REAL, CHELSEA NA WAKALI WENGINE WA UJERUMANI

    MABINGWA wa England, Manchester City wamepangwa kundi moja na mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich katika Ligi ya Mabingwa Ulaya pamoja na CSKA Moscow na Roma, wakati Liverpool wao wamepangwa na mabingwa watetezi, Real Madrid.
    Mabingwa mara tano Ulaya, Liverpool mbali na kupangwa na mabingwa mara 10 wa taji hilo, Real pia wapo na Basle na Ludogorets.
    Arsenal, imepangwa na Borussia Dortmund pamoja na Galatasaray na Anderlecht katika Kundi D, wakati Chelsea imepangwa na imepangwa na wakali wengine wa Ujerumani, Schalke, Sporting Lisbon na Maribor.

    KUNDI A 

    Atletico Madrid 
    Juventus 
    Olympiakos 
    Malmo 

    KUNDI B 

    Real Madrid 
    Basle 
    LIVERPOOL
    Ludogorets 

    KUNDI C 

    Benfica 
    Zenit St Petersburg 
    Bayer Leverkusen 
    Monaco 

    KUNDI D 

    ARSENAL
    Borussia Dortmund 
    Galatasaray 
    Anderlecht 

    KUNDI E 

    Bayern Munich
    MANCHESTER CITY
    CSKA Moscow 
    Roma 

    KUNDI F 

    Barcelona 
    Paris St-Germain 
    Ajax 
    Apoel Nicosia 

    KUNDI G 

    CHELSEA
    Schalke 
    Sporting Lisbon 
    Maribor 

    KUNDI H 

    Porto 
    Shakhtar Donetsk 
    Athletic Bilbao 
    Bate Borisov 
    Mkali wao: Cristiano Ronaldo akiwasili kwenye drop ya Ligi ya Mabingwa Ulaya leo mjini Monaco, Ufaransa
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN CITY YAPEWA BAYERN MUNICH LIGI YA MABINGWA, LIVERPOOL NA REAL, CHELSEA NA WAKALI WENGINE WA UJERUMANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top