// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KMKM WANAPOAMUA 'KUJISAIDIA' HADHARANI... - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KMKM WANAPOAMUA 'KUJISAIDIA' HADHARANI... - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Sunday, August 31, 2014

        KMKM WANAPOAMUA 'KUJISAIDIA' HADHARANI...

        Wachezaji wa KMKM ya Zanzibar wakikojoa kwenye mifereji ya kupitisha maji machafu ya Uwanja wa Amaan jana wakati wa mchezo dhidi yao na Simba SC. Ajabu ni kwamba, Uwanja wa Aamaan una vyoo vya kutosha ndani na nje ya Uwanja, hadi kwenye vyumba vya kubadilishia nguo vya timu, lakini waheshimiwa hapa waliamua kuwa mfano mbaya jana.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: KMKM WANAPOAMUA 'KUJISAIDIA' HADHARANI... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry