// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KENYA YAICHAPA TANZANIA MICHUANO YA MAJESHI AFRIKA MASHARIKI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KENYA YAICHAPA TANZANIA MICHUANO YA MAJESHI AFRIKA MASHARIKI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, August 25, 2014

    KENYA YAICHAPA TANZANIA MICHUANO YA MAJESHI AFRIKA MASHARIKI

    Mchezaji wa Kenya, Joseph Owino (katikati) akigombea mpira dhidi ya wachezaji wa Tanzania, katika mchezo wa mpira kikapu michuano ya Majeshi ya Afrika Mashariki uliofanyika Uwanja wa Gymkhana, Zanzibar asubuhi ya leo. Kenya ilishinda 55-46.
    Mike Tanui wa Kenya akumdhibiti mchezaji wa Tanzania, Mohammed Athumani kushoto

    Erick Kahangwa wa Tanzaniua akiwatoka wachezaji wa Kenya

    Mohammed athumani wa Tanzania akipasua katikati ya wachezaji wa Kenya

    Erick Kahangwa wa Tanzania akimiliki mpira mbele ya Bernard  Muyuyo wa Kenya
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KENYA YAICHAPA TANZANIA MICHUANO YA MAJESHI AFRIKA MASHARIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top