// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); DIEGO COSTA AENDELEA KUNG'ARA CHELSEA, APIGA TENA BAO THE BLUES IKIUA 2-0 ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE DIEGO COSTA AENDELEA KUNG'ARA CHELSEA, APIGA TENA BAO THE BLUES IKIUA 2-0 ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, August 23, 2014

    DIEGO COSTA AENDELEA KUNG'ARA CHELSEA, APIGA TENA BAO THE BLUES IKIUA 2-0 ENGLAND

    MSHAMBULIAJI Diego Costa ameendelea kung’ara Chelsea baada ya jioni hii kuiwezesha The Blues kushinda mechi ya pili mfululizo Ligi Kuu ya England kwa kuichapa Leicester City mabao 2-0 Uwanja Stamford Bridge.
    Costa alifunga bao la kwanza dakika ya 62, kabla ya 
    Eden Hazard kufunga la pili dakika ya 77. Diego Costa alimpisha mkongwe Didier Drogba dakika ya 80 huku akipigiwa makofi wakati anatoka nje.
    Diego Costa ameendelea kung'ara Chelsea akifunga katika ushindi wa 2-0 leo 

    Kikosi cha Chelsea kilikuwa; Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Matic, Fabregas, Oscar/Willian dk70, Hazard, Schurrle/Ramires dk64 na Costa/Drogba dk80.
    Leicester City; Schmeichel, De Laet, Konchesky, Morgan, Hammond/Taylor-Fletcher dk73, King, Schlupp, Mahrez/Albrighton dk68, Nugent na Ulloa/Wood dk84.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DIEGO COSTA AENDELEA KUNG'ARA CHELSEA, APIGA TENA BAO THE BLUES IKIUA 2-0 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top