HATIMAYE Angel di Maria amekuwa mchezaji wa Manchester United kwa dau la rekodi Uingereza la Pauni Milioni 59.7 usiku huu kutoka Real Madrid.
Winga huyo wa Argentina amesaini Mkataba wa miaka mitano Old Trafford ambao utamfanya apate mshahara wa Pauni Milioni 6.5 kwa mwaka baada ya kodi.
Hiyo itamfanya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 awe nyuma ya Nahodha wa United, Wayne Rooney kwa kulipwa mshahara mkubwa.
Hiyo itamfanya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 awe nyuma ya Nahodha wa United, Wayne Rooney kwa kulipwa mshahara mkubwa.
Makamu Mwenyekiti, Ed Woodward akitiliana saini Mkataba na Di Maria
0 comments:
Post a Comment