KIUNGO Angel di Maria amefaulu vipimo vya afya kuelekea kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 59.7 Manchester United kutoka Real Madrid.
Dili hilo la kuvunja rekodi ya usajili Uingereza, litamfanya Di Maria awe analipwa Pauni 200,000 kwa wiki katika Mkataba wa miaka mitano atakaosaini.
Sasa mchezaji huyo anaelekea makao makuu ya klabu kwa ajili ya kusaini.
0 comments:
Post a Comment