KLABU ya Hull City imekamilisha usajili wa beki wa kati, Michael Dawson kutoka Tottenham kwa dau ambalo halikutajwa.
Beki huyo kisiki anakwenda Uwanja wa KC kwa Mkataba wa miaka mitatu baada ya klabu zote kuthibitisha dili hilo kwenye akaunti zao za Twitter.
0 comments:
Post a Comment