// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ARSENAL ILE KAMILI GADO KUELEKEA 'GEMU' NA WATURUKI KESHO LIGI YA MABINGWA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ARSENAL ILE KAMILI GADO KUELEKEA 'GEMU' NA WATURUKI KESHO LIGI YA MABINGWA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, August 26, 2014

    ARSENAL ILE KAMILI GADO KUELEKEA 'GEMU' NA WATURUKI KESHO LIGI YA MABINGWA

    Maandalizi: Kocha Arsene Wenger akiiongoza Arsenal mazoezini leo kujiandaa na mchezo wa marudiano wa mchujo Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Beskitas Uwanja wa Emirates kesho. Kutokana na Olivier Giroud kuwa majeruhi kwa sasa, Alexis Sanchez anatarajiwa kuongoza safu ya ushambuliaji
    Sprint: Alex Oxlade-Chamberlain is put through his paces as Arsenal train ahead of the Besiktas match
    Alex Oxlade-Chamberlain akifanya mazoezi na wenzake Arsenal kuelekea mchezo na BesiktasInspiration: Arsenal will need Mesut Ozil to put in a strong performance to overcome a determined Besiktas 
    Arsenal itahitaji Mesut Ozil acheze kwa kiwango cha juu ili kuing'oa Besiktas baada ya sare ya mchezo wa kwanza ugenini 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARSENAL ILE KAMILI GADO KUELEKEA 'GEMU' NA WATURUKI KESHO LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top