
Sunday, August 31, 2014

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger wa pili kulia mbele akifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Englad kati yake na Leicester City jioni hii. Timu ...
ARSENAL YALAZIMISHWA SARE 1-1 NA LEICESTER CITY
Sunday, August 31, 2014
ARSENAL imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 ugenini na Leicester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo. Alexis Sanche...
KAGAWA AREJEA DORTMUND MIAKA MINNE BAADA YA MAMBO KWENDA KOMBO MAN UNITED
Sunday, August 31, 2014
KIUNGO aliyeshindwa kung'ara Manchester United, Shinji Kagawa amekamilisha uhamisho wa kurejea Borussia Dortmund kwa dau la Pauni Mili...
IMETIMIA MIAKA 10 ROONEY MCHEZAJI WA MAN UNITED
Sunday, August 31, 2014
MSHAMBULIAJI Wayne Rooney leo ametimiza miaka 10 tangu asajiliwe na Manchester United kutoka Everton. Rooney amepata mafanikio ya kuridh...
REMY AKAMILISHA UHAMISHO WAKE CHELSEA KUTOKA QPR, JESHI LA MOURINHO SASA...
Sunday, August 31, 2014
KLABU ya Chelsea imekamilisha uhamisho wa Loic Remy kwa dau la Pauni Milioni 8 kutokaq QPR. Remy aliyekuwa anatakiwa pia na Arsenal, ana...
LIVERPOOL YAUA 3-0 BALOTELLI AKIANZA BILA BAO
Sunday, August 31, 2014
LIVERPOOL imeichapa mabao 3-0 Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa White Hart Lane. Mabao ya Live...
OWINO NAHODHA MPYA SIMBA SC, KISIGA MSAIDIZI WAKE, CHOLLO AVULIWA BEJI BAADA YA KUPOTEZA NAMBA ‘FIRST ELEVEN’
Sunday, August 31, 2014
Na Mahmoud Zubeiry, ZANZIBAR BEKI Mganda, Joseph Owino ameteuliwa kuwa Nahodha wa Simba SC, nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Nassor Masoud...
BIN KLEB AREJESHWA YANGA SC, WAMO NITIMIZI NA MAYAY
Sunday, August 31, 2014
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAJUMBE Wenza wa Kamati ya Utendaji ya YANGA (Maendelo ya Michezo), Ndugu Seif Ahmed na Engineer Isaac Chanj...
ETO'O ALIVYOFUNGA JANA KIULAINI MBELE YA MABEKI WA CHELSEA
Sunday, August 31, 2014
Mkali mkali tu: Mshambuliaji mpya wa Everton, Samuel Eto'o akifunga kwa kichwa jana katika kipigo cha mabao 6-3 dhidi ya tim...
HII NDIYO 'FIRST ELEVEN' YA PHIRI SIMBA SC, HAKUNA OKWI, MKUDE WALA KIONGERA...NA BADO KUNA WAKALI WENGINE WA KIKOSI CHA PILI WANATISHA
Sunday, August 31, 2014
Hiki ndicho kikosi cha kwanza cha Simba SC, ambacho kocha Patrick Phiri amekuwa akikitanguliza dakika 45 za kwanza katika mechi zake visi...
KMKM ILIVYOZITOFAUTISHA AZAM, SIMBA NA YANGA...
Sunday, August 31, 2014
Kikosi cha KMKM kilichofungwa 5-0 na Simba SC jana katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Amaan, Zanzibar. KMKM pia ilikutana na mabingwa wa...
SIMBA SC ILIVYOIFANYA KMKM JANA AMAAN
Sunday, August 31, 2014
Wachezaji wa Simba SC, Shaaban Kisiga kushoto na Pierre Kwizera kulia wakimpongeza mwenzao, Amri Kiemba baada ya kufunga bao la kwanza ka...
KMKM WANAPOAMUA 'KUJISAIDIA' HADHARANI...
Sunday, August 31, 2014
Wachezaji wa KMKM ya Zanzibar wakikojoa kwenye mifereji ya kupitisha maji machafu ya Uwanja wa Amaan jana wakati wa mchezo dhidi yao na S...
WAZEE WA KAZI, FRIENDS OF SIMBA...MWAKA HUU KAZI IPO
Sunday, August 31, 2014
Wadau wa kundi la Friends of Simba SC, kutoka kulia Musley Ruwey, Zacharia Hans Poppe (Mwenyekiti), Salim Abdallah na Crescentius John Ma...
BEKI JIPYA LA SIMBA SC HILI HAPA...
Sunday, August 31, 2014
Beki mpya wa Simba SC, Shaffi Hassan akiwa mazoezini na klabu yake usiku wa jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar wakai wa mapumziko ya mchezo w...
MAMBO MATATU YA KUJIULIZA SAKATA LA OKWI, YANGA NA SIMBA…
Sunday, August 31, 2014
POPOTE utakapoona mkusanyiko wa mashabiki wa Simba na Yanga au wa klabu mojawapo pekee kati ya hizo, ukiusogelea utakutana mjadala mmoja tu...
Saturday, August 30, 2014
STRAIKA LA MAN UNITED LAIKALISHA MAN CITY ETIHAD
Saturday, August 30, 2014
MABINGWA watetezi, Manchester City wamepunguzwa kasi katika Ligi Kuu ya England baada ya kupata kipigo cha kwanza msimu huu mbele ya Stoke ...
COSTA MABAO APIGA MBILI CHELSEA IKICHAPA TIMU YA ETO'O SITA
Saturday, August 30, 2014
MSHAMBULIAJI Diego Costa, ameendelea kung’ara Chelsea baada ya leo kufunga mabao mawili katika ushindi wa 6-3 dhidi ya Everton Uwanja wa Go...
SIMBA SC YAIFUMUA 5-0 KMKM, OKWI ASUGUA BENCHI
Saturday, August 30, 2014
Na Mahmoud Zubeiry, ZANZIBAR SIMBA SC imewafunga mabingwa wa Zanzibar, KMKM mabao 5-0 katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na Ligi Kuu ya V...
FERGUSON LEO AMEUDHIKA MNO MAN UNITED MECHI YA TATU HAKUNA USHINDI
Saturday, August 30, 2014
Maudhi matupu: Kocha wa zamani wa Manchester United, Sir Alex Ferguson (mbeke) akiwa na David Gill na Sir Bobby Charlton wakitaza...
WINGA LA ARGENTINA, BLANCO LATUA WEST BROM
Saturday, August 30, 2014
KLABU ya West Brom imetangaza kumsajili kiungo wa pembeni wa Argentina, Sebastian Blanco kwa mkataba wa miaka miwili Metalist Kharkiv ya U...
TORRES ALIVYOPOKEWA KIFALME AC MILAN
Saturday, August 30, 2014
Amewasili: Fernando Torres pichani akiwa na skafu ya AC Milan baada ya kuwasili Jijini Milan kufuatia kujiunga na klabu hiyo kwa...
SONG ATUA WEST HAM KWA MKOPO KUFUFUA MAKALI
Saturday, August 30, 2014
KLABU ya West Ham imetangaza kumsajili kiungo wa Barcelona, Mcameroon Alex Song kwa mkopo wa muda mrefu. Mchezaji huyo mwenye umri wa mi...
VAN GAAL 'AMPIGA SUB' DI MARIA MAN UNITED IKING'ANG'ANIWA NA WALIOTOKA DARAJA LA KWANZA
Saturday, August 30, 2014
KOCHA Louis Van Gaal leo ameiongoza Manchester United katika mchezo wa tatu mfululizo Ligi Kuu ya England bila kushinda, licha ya kumuanzis...
YANGA SC YAUNDA KAMATI ZA SHERIA, MAADILI, NIDHAMU NA UCHAGUZI
Saturday, August 30, 2014
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MWANASHERIA Sam Mapande, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya YANGA –(Utawala Bora) anapenda kutoa taarifa kupi...
Subscribe to:
Posts (Atom)