
Thursday, July 31, 2014

Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM JEZI za klabu maarufu za soka nchini, Simba na Yanga zinaongoza kwa mauzo miongoni mwa jezi za timu mbal...
SERIKALI YAJITWISHA ZIARA YA REAL MADRID, DK FENELLA AINGIA ‘MZIGONI’ RASMI
Thursday, July 31, 2014
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM KAMATI ya Maandalizi ya ziara ya kikosi cha magwiji wa Real Madrid ya Hispania, leo imemtembelea Waziri wa...
PAUL SCHOLES AMPA USHAURI WA BURE VAN GAAL MAN UNITED; "SAJILI MABEKI, SAFU YA ULINZI KIMEO BABA"
Thursday, July 31, 2014
GWIJI wa Manchester United, Paul Scholes amemuagiza kocha Louis van Gaal kununua mabeki wawili kwa kuwa kuna udhaifu kwenye safu ya ulinzi...
STARS WAWASILI SALAMA JOHANNESBURG, BALOZI AWATEMBELEA VIJANA
Thursday, July 31, 2014
Na Boniface Wambura, JOHANNESBURG KIKOSI cha timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kimewasili salama jana (Julai 30 mwaka huu) ha...
RASMI, EVERTON WAJIBEBEA JUMLA LUKAKU KWA PAUNI MILIONI 28
Thursday, July 31, 2014
Dili limetiki: Mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji, Romelu Lukaku akiwa ameshika jezi ya Everton pamoja na kocha Roberto Martin...
LIVERPOOL YAITANDIKA MAN CITY 3-1 MAREKANI...YAYA TOURE AKOSA PENALTI
Thursday, July 31, 2014
LIVERPOOL imaifunga kwa penalti 3-1 Manchester City kufuatia sare ya 2-2 ndani ya dakika 90 katika mchezo wa Kombe la Kimataifa kujiandaa ...
MAKOCHA WA BARCELONA WAWASILI DAR TAYARI KUTOA MAFUNZO KWA MAKOCHA WA TANZANIA
Thursday, July 31, 2014
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM BIA ya Castle Lager, bia inayoongoza barani Afrika na FC Barcelona, moja kati ya timu kubwa zaidi za soka ...
Wednesday, July 30, 2014
"BABU NIPE MCHONGO WA UMANGANI...NIMESHACHOKA NA SOKA LA BONGO"
Wednesday, July 30, 2014
Kiungo wa Simba SC, Ramadhani Singano 'Messi' kulia akiwa na kiungo mwenzake wa zamani wa klabu hiyo, Mwinyi Kazimoto kushoto amb...
DIEGO COSTA ATAKA KUZIPIGA MCHEZAJI WA VITESSE KISA KUCHEZEWA RAFU
Wednesday, July 30, 2014
Chupuchupu zipigwe: Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa akizinguana na mchezaji wa Vitesse Arnhem, Guram Kashia wakati wa mchezo...
FABREGAS AFUNGUA AKAUNTI YAKE YA MABAO CHELSEA IKIUA 3-1 MAPANDE YOTE YA COSTA
Wednesday, July 30, 2014
UWEKEZAJI mkubwa wa Chelsea kwa wachezaji Diego Costa na Cesc Fabregas umeanza kulipa baada ya nyota hao kumfungia mabao kocha Jose Mourin...
MAN UNITED YAPIGWA BAO NA LAZIO SAINI YA BEKI KISIKI LA UHOLANZI LINALOPIGA HADI MABAO
Wednesday, July 30, 2014
KLABU ya Lazio imetangaza kumsajili beki wa kati wa kimataifa wa Uholanzi, Stefan de Vrij kutoka Feyenoord ambaye alikuwa kwenye rada za M...
MESSI ANAVYOPUNGUZA MAWAZO BAADA YA ARGENTINA KUKOSA KOMBE LA DUNIA...YUKO TOTO HILO BALAA!
Wednesday, July 30, 2014
NYOTA wa Barcelona, Lionel Messi ameamua kupunguza maumivu ya kukosa Kombe la Dunia kwa kwenda kujirusha kwenye jus la ufukweni nchini Ita...
STARS WALIVYOONDOKA LEO DAR KWENDA AFRIKA KUSINI
Wednesday, July 30, 2014
Kiungo wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mwinyi Kazimoto anayecheza Al Markhiya ya Qatar, akiwaongoza wenzake jioni ya l...
BEKI SIMBA SC ATUA AFRICAN LYON KWA SH MILIONI 18
Wednesday, July 30, 2014
Mkurugenzi wa African Lyon ya Daraja la Kwanza, Rahim Kangenzi 'Zamunda' kulia akibadilishana mikataba na beki Hassan Isihaka baa...
RONALDO ATULIA 'TULIII' BENCHI REAL IKIPIGWA KIDUDE NA ROMA
Wednesday, July 30, 2014
MWANASOKA bora wa dunia, Cristiano Ronaldo aliishuhudia timu yake Real Madrid ikifungwa 1-0 na Roma akiwa bench katika mchezo wa mwisho wa...
MAN UNITED NA INTER MILAN KATIKA PICHA JANA MAREKANI
Wednesday, July 30, 2014
Kazini: Mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney akimtoka beki wa Inter Milan, Jonathan kipindi cha kwanza jana katika mc...
VAN GAAL AENDELEZA FURAHA MAN UNITED, YAIBUTUA INTER MILAN MAREKANI
Wednesday, July 30, 2014
KOCHA Louis van Gaal ameendeleza wimbi la ushindi baada ya Manchester United kuifunga kwa penalti 5-3 Inter Milan kufuatia safe ya 0-0 kat...
BABA YAKE TEVEZ AACHIWA BAADA YA SAA NANE ZA KUSHIKILIWA NA WATEKAJI
Wednesday, July 30, 2014
BABA wa mchezaji wa zamani wa Manchester United na Manchester City, Carlos Tevez aliyetekwa jana nchini Argentina, ameachiwa baada ya saa ...
Subscribe to:
Posts (Atom)