Ujuzi hauzeeki; Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akipiga kichwa wakati anacheza soka ya ufukweni nchin Brazil. Hii imefanana kidogo na kichwa alichopiga Robin van Persie, Uholanzi ikiifunga Hispania 5-1 katika Kombe la Dunia
Wenger akipaa kupiga kichwa
Van Persie alipiga namna hii katika mchezo wa kwanza wa Kundi B mjini Salvador
Mholanzi huyo alimfunga bao la hatari sana akimtungu kipa Iker Casillas
0 comments:
Post a Comment