![]() |
Mgombea Urais wa Simba SC, Evans Eliaza Aveva kulia akisalimiana na wanachama wa tawi la Kigamboni, Dar es Salaam jana alipowatembelea kwa ajili ya kampeni |
![]() |
Aveva na wanachama Kigamboni jana |
![]() |
Kulia ni Mwenyekiti wa zamani wa Simba SC, Hassan Daalal akiongozana na Aveva |
![]() |
Wanachama wakimsikilizaa Aveva |
![]() |
Sera za mgombea zinapofurahisha wanachama, huchekelea |
![]() |
Mzee Daalal akimuombea kura Aveva |
![]() |
Aveva akizungumza na wanachama |
![]() |
Aveva akiagana na wanachama baada ya kumaliza kuzungumza nao |
0 comments:
Post a Comment