// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MWANDISHI WA KIKE AVUA NGUO KUSHANGILIA BAO LA SANCHEZ - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MWANDISHI WA KIKE AVUA NGUO KUSHANGILIA BAO LA SANCHEZ - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, June 29, 2014

    MWANDISHI WA KIKE AVUA NGUO KUSHANGILIA BAO LA SANCHEZ

    MWANDISHI wa habari wa kike wa Chile, Jhendelyn Nunez alivua blauzi yake na kubaki na sidiria kushangilia bao la mshambuliaji Alexis Sanchez alilofungia timu yake jana la kusawazisha katika mchezo wa 16 Bora ya Kombe la Dunia dhidi ya Brazil.
    Mwandishi huyo alifurahi mno Sanchez aliposawazisha bao baada ya David Luiz kuifungia Brazil bao la kuongoza.
    Bahati mbaya kwao Chile wakafungwa kwa penalti 3-2 baada ya sare hiyo ya 1-1.
    Step three: The Chilean flag is exposed
    Step four: A face of nationalistic pic
    Walking away: Nunez returns to the game
    Nunez waves goodbye to the camera
    Bonge la shoo: Bahati mbaya starehe yake ilikatishwa na Chile kufungwa kwa penalti
    Not so fun: Sanchez's celebration was rather more PG on the pitch than the journsalist's outside the ground
    Sanchez pamoja na kuisawazishia Chile jana, ni miongoni mwa wachezaji waliokosa penalti
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MWANDISHI WA KIKE AVUA NGUO KUSHANGILIA BAO LA SANCHEZ Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top