Kilio cha furaha: Mashujaa wa Brazil katika ushindi wa penalti 3-2 baada ya sare ya 1-1 na Chile katika mchezo wa 16 Bora Kombe la Dunia, kipa Julio Cesar na beki David Luiz wakipongezana huku wakibubujikwa na machozi ya furaha kutinga Robo Fainali baada ya mechi ngumu. Luiz aliifungia Brazil bao la kuongoza sare ya 1-1 na pia akafunga penalti ya kwanza
Mikono salama: Julio Cesar aliokoa penalti mbili
Cesar (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake mjini Belo Horizonte
0 comments:
Post a Comment