MJAMZITO Alysia Montano amekimbia mbio za mita 800 za US Track na Field Championships jana, ingawa mamba yake imetimiza wiki 34.
Bingwa huyo mara tano wa taifa alitumia muda wa dakika mbili na sekunde, 32.13 kumaliza na kufuzu hatua nyingine, akiwa amebakiza wiki saba tu kabla ya kujifungua.
Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 28, nyota wa zamani Chuo Kikuu cha California kumaliza wa mwisho haikumuumiza mbele ya umati Uwanja wa Hornet.
Alianza kwa kasi na kuongoza kwa umbalo wa mita 120 kabla ya kuanza kuishiwa nguvu na kupotwa
Montano akiwa kwenye mashindano mjini Sacramento
Montano akisubiri mbio kuanza katika siku ya ufunguzi wa USATF Outdoor Championship
0 comments:
Post a Comment