BEKI wa kimataifa wa England, Luke Shaw amekamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 31.5 kutua Manchester United kwa mkataba wa miaka minne kupiga kazi Old Trafford.
Mchezaji huyo amekamilisha vizuri vipimo afya katika Uwanja wa mazoezi wa United, Carrington na ameambiwa atakuwa beki wa kushoto chaguo la kwanza la kocha Louis van Gaal.
Inafahamika amehakikishiwa mamba na beki mkongwe mwenye umri wa miaka 33, Patrice Evra, ambaye atabakia United, anatarajiwa kupunguziwa majukumu klabuni hapo.
0 comments:
Post a Comment