Na Samira Said, DAR ES SALAAM
MGOMBEA wa nafasi ya Makamu wa Rais, Geofrey Nyange' Kaburu' amewaambia wanachama wa Simba wamchague ili Simba irudi njia kuu.
Njia kuu Kaburu aliielezea ni ushindi na si kukaa mchepuko sehemu ambayo Simba haistahili kuwepo.
Kaburu alisema pia yeye kamwe hagawi wachezaji kama inavyoelezwa na baadhi ya wanachama wa klabu hiyo.
Alisema kila timu inapokwama yeye hutafutwa na kuokoa jahazi.
Alisema akifanikiwa kuingia madarakani yeye na mgombea Urais, Evans Aveva, watailetea Simba ushindi na pointi tatu.
Alisema pia hauzi wachezaji bali kamati ya utendaji ndiyo huuza wachezaji kwa kufanya makubaliano kihalali.

Kaburu anataka kuirudisha Simba SC njia kuu |
Alisema akifanikiwa kuingia madarakani yeye na mgombea Urais, Evans Aveva, watailetea Simba ushindi na pointi tatu.
Alisema pia hauzi wachezaji bali kamati ya utendaji ndiyo huuza wachezaji kwa kufanya makubaliano kihalali.
0 comments:
Post a Comment