• HABARI MPYA

        Thursday, June 26, 2014

        KABURU KATIKA KAMPENI ZA TAWI KWA TAWI SIMBA SC

        Mgombea Umakamu wa Rais wa Simba SC, Geoffrey Nyange 'Kaburu' kulia akizungumza na mlezi wa tawi la klabu hiyo Kigamboni, wakati alipotembelea tawi hilo kwa ajili ya kampeni zake usiku wa jana.
        Kaburu akizungumza na wanachama wa Simba Kigamboni, eneo la Uwanja wa Swala
        Kaburu akijadiliana jambo na mgombea nafasi ya Ujumbe kwa nafasi za wanawake, Amina Poyo kushoto

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: KABURU KATIKA KAMPENI ZA TAWI KWA TAWI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry