• HABARI MPYA

        Wednesday, June 25, 2014

        EVANS AVEVA ALIVYOZINDUA KAMPENI ZAKE TEMEKE LEO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU SIMBA SC, HANS POPPE NA KABURU NDANI YA NYUMBA

        Mgombea Urais wa Simba SC, Evans Elieza Aveva akizungumza na wanachama wa Temeke katika ukumbi wa Kata ya 14, jioni ya leo wakati wa uzinduzi wa kampeni zake kuelekea uchaguzi Mkuu wa klabu hiyo Juni 29, mwaka huu mjini Dar es Salaam.
        Aveva katikati akizungumza, kulia ni Mwenyekiti wa zamani wa klabu hiyo, Hassan Daalal na kushoto ni mfadhili wa klabu hiyo na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili, Zacharia Hans Poppe
        Wanachama wa Simba SC wakimsikiliza Aveva
        Babu huyu akimsikiliza kwa makini Aveva wakati akimwaga sera zake
        Akina mama nao hawakubaki nyuma
        Aveva akisikiliza maoni, maswali na ushauri wa wanachama wa Temeke
        Kutoka kulia Daalal, Aveva na Geoffrey Nyange 'Kaburu' mgombea Umakamu wa Urais
        Hans Poppe, Kaburu na Aveva
        Mwenyekiti wa Chama cha Soka Temeke (TEFA), Peter Mhinzi akimuombea kura Aveva kwa wanachama hao
        Mikono juu, wanachama wakionyesha ishara watamoa kura Aveva
        Aveva akisalimiana na mwanachama mlemavu wa Simba SC baada ya kampeni zake 

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: EVANS AVEVA ALIVYOZINDUA KAMPENI ZAKE TEMEKE LEO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU SIMBA SC, HANS POPPE NA KABURU NDANI YA NYUMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry