• HABARI MPYA

        Monday, June 30, 2014

        COSTA RICA YAING'OA UGIRIKI KWA MATUTA KOMBE LA DUNIA



        Los Ticos: Wachezaji wa Costa Rica wakimpongeza mwenzao, Bryan Ruis baada ya kufunga bao la kuongoza katika sare ya 1-1 na Ugiriki Kombe la Dunia hatua ya 16 Bora. Costa Rica imeenda Robo Fainali kwa ushindi wa penalti 5-3 baada ya sare hiyo ndani ya dakika 120 na sasa itamenyana na Uholanzi, ambayo mapema iliitoa Mexico kwa kuifunga mabao 2-1.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: COSTA RICA YAING'OA UGIRIKI KWA MATUTA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry