TIMU za Afrika zilizofuzu 16 Bora ya Kombe la Dunia nchini Brazil zitakutana na mabingwa wa zamani wa michuano hiyo katika hatua hiyo.
Nigeria itamenyana na Ufaransa wakati Algeria itamenyana na Ujerumani- kuwania kuungana na Cameroon, Senegal na Ghana katika orodha ya timu za Afrika zilizowahi kufika Robo Fainali ya Kombe la Dunia.
Mechi nyingine za Robo Fainali ni kati ya Brazil na Chile, Colombia na Uruguay, Uholanzi na Mexico, Argentina na Uswisi na Ubelgiji na Marekani.
0 comments:
Post a Comment