
Monday, June 30, 2014

Na Mahmoud Zubeiry, BETHLEHEM KLABU ya Free State Stars ya Afrika Kusini itaongeza ofa yake kidogo katika jitihada za kujaribu kumnunua ms...
UFARANSA YAITUPA NJE NIGERIA, YAICHAPA 2-0 DAKIKA ZA LALA SALAMA
Monday, June 30, 2014
NDOTO za Nigeria kuungana na Cameroon, Senegal na Ghana katika orodha ya timu za Afrika zilizowahi kucheza Robo Fainali za Kombe la Dunia ...
COUTINHO AJIPIGA KITANZI MIAKA MIWILI YANGA SC
Monday, June 30, 2014
Kiungo mshamabuliaji Andrey Marcel Ferreira Coutinho raia wa Brazil leo amesaini mkataba wa miwili kuitumikia timu ya Young Africans kwa aj...
BAADA YA USHINDI WA KISHINDO SIMBA SC, AVEVA ASEMA; “SITAWAANGUSHA”
Monday, June 30, 2014
Na Samira Said, DAR E SALAAM RAIS mpya wa Klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, Evans Aveva, amesema kwamba anawaahidi wanachama wa klab...
ROBBEN AKIRI KUJIANGUSHA KUMDANGANYA REFA AWAPE PENALTI UHOLANZI
Monday, June 30, 2014
WINGA Arjen Robben alijaribu kumdanganya refa katika mchezo wa 16 Bora jana Kombe la Dunia, Uholanzi ikiifunga mabao 2-1 Mexico na kwenda ...
COSTA RICA YAING'OA UGIRIKI KWA MATUTA KOMBE LA DUNIA
Monday, June 30, 2014
Los Ticos: Wachezaji wa Costa Rica wakimpongeza mwenzao, Bryan Ruis baada ya kufunga bao la kuongoza katika sare ya 1-1 na Ugiriki K...
Sunday, June 29, 2014
UHOLANZI YATINGA ROBO FAINALI KWA MBINDE, YAICHAPA MEXICO 2-1
Sunday, June 29, 2014
UHOLANZI imeenda Robo Fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuifunga Mexico mabao 2-1 ikitoka nyuma kwa 1-0 jioni hii nchini Brazil. Shkurani...
KABURU 'AWAGARAGAZA' JULIO NA NKWABI, NDIYE MAKAMU WA RAIS SIMBA SC
Sunday, June 29, 2014
Geoffrey Nyange 'Kaburu' ameshinda Umakamu wa Rais Simba SC baada ya kupata kura 1043 akimshinda mpinzani wake wa karibu Jamhuri ...
AVEVA ASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI SIMBA SC
Sunday, June 29, 2014
Matokeo ya awali ambayo BIN ZUBEIRY imeyapata kutoka chumba cha kuhesabia kura ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi, Oysterbay, Dar es Sa...
MWANDISHI WA KIKE AVUA NGUO KUSHANGILIA BAO LA SANCHEZ
Sunday, June 29, 2014
MWANDISHI wa habari wa kike wa Chile, Jhendelyn Nunez alivua blauzi yake na kubaki na sidiria kushangilia bao la mshambuliaji Alexis Sanch...
MAMBO YANAVYOENDELEA UCHAGUZI SIMBA SC
Sunday, June 29, 2014
Mwenyekiti wa Simba SC, Alhaj Ismail Aden Rage (katikati) akiongoza Mkutano Mkuu wa Uchagzi wa Simba SC mchana huu katika ukumbi wa Bwalo...
KILA LA HERI SIMBA SC, KUMBUKA MTAVUNA MTAKACHOKIPANDA LEO
Sunday, June 29, 2014
SIMBA SC inatarajiwa kufanya uchaguzi wake Mkuu leo, katia bwalo la Maofisa wa jeshi la Polisi, Oystrebay, Dar es Salaam kuanzia saa 3:00 ...
ZAIDI YA DOMAYO, TUNAHATARISHA MAISHA YA WACHEZAJI WANGAPI WENGINE NCHINI?
Sunday, June 29, 2014
KLABU ya Azam FC imelazimika kuingia gharama za zaida kumtibu kiungo Frank Domayo baada ya kugundua ilimsajili kwa mamilioni mengi kutoka Y...
RODRIGUEZ AMEFUNGA BAO BORA ZAIDI KOMBE LA DUNIA HADI SASA, KAMPOTEZA HADI MESSI
Sunday, June 29, 2014
ANAWAPIKU Lionel Messi na Tim Cahill. James Rodriguez amefunga bao bora zaidi katika Kombe la Dunia hadi sasa kwa mwaka huu, akiiwezesha C...
MASHUJAA KATIKA KILIO CHA FURAHA
Sunday, June 29, 2014
+30 Kilio cha furaha: Mashujaa wa Brazil katika ushindi wa penalti 3-2 baada ya sare ya 1-1 na Chile katika mchezo wa 16 Bora K...
NEYMAR NA SCOLARI WE ACHA TU!
Sunday, June 29, 2014
Furaha ya ushindi: Nyota wa Brazil, Neymar akiwa amemuegemea kocha wake, Luiz Felipe Scolari baada ya kuitoa Chile kwa mbinde kwa pe...
COLOMBIA YAITOA URUGUAY, KUKUTANA NA BRAZIL ROBO FAINALI
Sunday, June 29, 2014
MABAO ya James Rodriguez katika dakika za 28 na 50 usiku huu yameiwezesha Colombia kutinga Robo Fainali ya Kombe la Dunia kwa kuifunga Urug...
Saturday, June 28, 2014
BRAZIL YATINGA ROBO FAINALI KWA MATUTA, CHILE YAFA KIUME
Saturday, June 28, 2014
WENYEJI Brazil wameitoa Chile kwa penalti 3-2 katika mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia mjini Uwanja wa Belo Horizonte, kufuatia sar...
MASIKINI NGASSA, YANGA YAMKOSESHA ULAJI HIVI HIVI, FREE STATE YASITISHA MPANGO WA KUMNUNUA BAADA YA KUTAJIWA DAU KUBWA
Saturday, June 28, 2014
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KLABU ya Free State Stars ya Afrika Kusini imeachana na mpango wa kumnunua mshambuliaji Mrisho Khalfan N...
Subscribe to:
Posts (Atom)