// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YULE MCAMEROON ALIYEDAIWA ANA MIAKA 40, YATHIBITIKA KWELI ANA MIAKA 17 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YULE MCAMEROON ALIYEDAIWA ANA MIAKA 40, YATHIBITIKA KWELI ANA MIAKA 17 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, May 29, 2014

    YULE MCAMEROON ALIYEDAIWA ANA MIAKA 40, YATHIBITIKA KWELI ANA MIAKA 17

    KIUNGO wa Lazio, Joseph Minala ameruhusiwa kuendelea kuchezea timu ya vijana la klabu hiyo, baada ya kuthibitika hana umri wa miaka 42.
    Chama cha Soka Italia kiliamua kufanya uchunguzi baada ya toviti ya soka Afrika kudai kwamba mzaliwa huyo wa Cameroon, Minala alikuwa anadanganya ana umri wa miaka 17.
    Lakini FA ya Italia baada ya uchunguzi wake, imejiridhisha mchezaji huyo hajadanganya na umri na kumruhusu kuendelea kuchezea timu ya vijana ya Lazio.
    Kinda: Lazio imeruhusiwa kuendelea kumtumia Joseph Minala aliyedaiwa kukwepa umri wake halisi wa miaka 40 na kudai ana miaka 17
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YULE MCAMEROON ALIYEDAIWA ANA MIAKA 40, YATHIBITIKA KWELI ANA MIAKA 17 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top