KLABU ya West Ham imethibitisha kumteua Teddy Sheringham kuwa kocha wa washambuliaji wa timu hiyo ya Upton Park.
Kocha Sam Allardyce ameambiwa ahakikishe timu hiyo inacheza soka ya kushambulia zaidi na kwa sababu hiyo wameteua mshambuliaji huyo wa zamani wa Manchester United.
Allardyce alisema: "Teddy alikuwa ana nia ya kuingia kwenye ukocha wakati huu, hivyo wote wazi tunafurahia kumpata katika benchi la ufundi ili kutuongezea ujuzi wake katika safu yetu ya ushambuliaji,".
0 comments:
Post a Comment