KLABU ya Tottenham imemthibitisha Mauricio Pochettino kuwa kocha wake mpya Mkuu.
Muargentina hyo alijiuzulu nafasi ya ukocha katika klabu ya Southampton, ambako aliwavutia wengi kwa kazi yake nzuri ikiwa ni pamoja na kuinua vipaji vya chipukizi wengi wa England.
Pochettino amepewa Mkataba wa miaka mitano White Hart Lane na Mwenyekiti wa Spurs, Daniel Levy, kurithi mikoba ya Tim Sherwood aliyefukuzwa.
0 comments:
Post a Comment