BAADA ya Real Madrid kubeba 'ndoo' ya 10 ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, mica inaangusha bongo la pati Uwanja wa wa Santiago Bernabeu mini Madrid ambalo linawashirikisha mashabiki.
Real ilikuwa nyuma kwa bao 1-0 hadi dakika ya 90 na ushei, lakini ikasawazisha na kwenda kupata mabao matatu ndani ya dakika 30 za nyongeza na kuilaza 4-1 Atletico Madrid hivyo kutwaa tajhi hilo Uwanja wa Luz mjini Lisbon, Ureno.
Real imewaalika mashabiki wake Uwanja wa Bernabeu kushereheka muda huu.
0 comments:
Post a Comment